Kum. 1:17 SUV

17 Msitazame nafsi za watu katika hukumu; mwasikize wadogo na wakubwa sawasawa; msiche uso wa mtu awaye yote; kwa kuwa hukumu ni ya Mungu; na lile neno liwashindalo mniletee mimi, nami nitalisikiza.

Kusoma sura kamili Kum. 1

Mtazamo Kum. 1:17 katika mazingira