Kum. 1:44 SUV

44 Na Waamori waliokuwa wakikaa katika mlima huo, waliwatokea juu yenu, wakawafukuza, kama wafukuzwao na nyuki, wakawapomoshea Seiri mpaka Horma.

Kusoma sura kamili Kum. 1

Mtazamo Kum. 1:44 katika mazingira