10 Mpe kwa kweli, wala moyo wako usisikitike utakapompa; kwa kuwa atakubarikia BWANA, Mungu wako, kwa neno hili katika kazi yako yote, na katika kila utakalotia mkono wako.
Kusoma sura kamili Kum. 15
Mtazamo Kum. 15:10 katika mazingira