Kum. 15:11 SUV

11 Kwa maana maskini hawatakoma katika nchi milele; ndipo ninakuamuru na kukuambia, Mfumbulie kwa kweli mkono wako nduguyo, mhitaji wako, maskini wako, katika nchi yako.

Kusoma sura kamili Kum. 15

Mtazamo Kum. 15:11 katika mazingira