Kum. 15:12 SUV

12 Ikiwa nduguyo, mume wa Kiebrania, au mwanamke wa Kiebrania, akiuzwa kwako, naye amekutumikia miaka sita; basi mwaka wa saba mwache huru aondoke kwako.

Kusoma sura kamili Kum. 15

Mtazamo Kum. 15:12 katika mazingira