Kum. 15:18 SUV

18 Wala usione ugumu, utakapomwacha huru kuondoka kwako; kwani amekutumikia miaka sita kwa ujira mara mbili wa mwajiriwa; na BWANA, Mungu wako, atakubarikia kwa yote utakayofanya.

Kusoma sura kamili Kum. 15

Mtazamo Kum. 15:18 katika mazingira