Kum. 15:6 SUV

6 Kwani BWANA, Mungu wako, atakubarikia, kama alivyokuahidi; nawe utakopesha mataifa mengi, lakini hutakopa; tena utayatawala mataifa mengi, usitawaliwe na wao.

Kusoma sura kamili Kum. 15

Mtazamo Kum. 15:6 katika mazingira