Kum. 16:15 SUV

15 Siku saba mfanyie sikukuu BWANA, Mungu wako, mahali atakapochagua BWANA; kwa kuwa BWANA, Mungu wako, atakubarikia katika maongeo yako yote, na katika kazi zote za mikono yako, nawe uwe katika kufurahi kabisa.

Kusoma sura kamili Kum. 16

Mtazamo Kum. 16:15 katika mazingira