Kum. 16:16 SUV

16 Mara tatu kwa mwaka na watokee wanawaume wako wote mbele za BWANA, Mungu wako, mahali atakapochagua; katika sikukuu ya mikate isiyotiwa chachu, na katika sikukuu ya majuma, na katika sikukuu ya vibanda; wala wasitokee mbele za BWANA mikono mitupu.

Kusoma sura kamili Kum. 16

Mtazamo Kum. 16:16 katika mazingira