Kum. 16:18 SUV

18 Weka waamuzi na maakida katika malango yako yote akupayo BWANA, Mungu wako, kwa hesabu ya kabila zako; nao wawaamue watu kwa maamuzi ya haki.

Kusoma sura kamili Kum. 16

Mtazamo Kum. 16:18 katika mazingira