Kum. 16:19 SUV

19 Usipotoe maamuzi; wala usipendelee uso wa mtu; wala usitwae rushwa; kwa kuwa rushwa hupofusha macho ya wenye akili, na kugeuza daawa ya wenye haki.

Kusoma sura kamili Kum. 16

Mtazamo Kum. 16:19 katika mazingira