Kum. 17:1 SUV

1 Usimchinjie BWANA, Mungu wako, ng’ombe wala kondoo aliye na kilema, wala neno ovu lo lote; kwa kuwa hayo ni machukizo kwa BWANA, Mungu wako.

Kusoma sura kamili Kum. 17

Mtazamo Kum. 17:1 katika mazingira