Kum. 17:2 SUV

2 Ikiwa ameonekana katikati yako, ndani ya malango yako mojawapo, upewayo na BWANA, Mungu wako, mtu mume au mke afanyaye yaliyo maovu machoni pa BWANA, Mungu wako, kwa kuvunja maagano yake,

Kusoma sura kamili Kum. 17

Mtazamo Kum. 17:2 katika mazingira