Kum. 2:30 SUV

30 Lakini Sihoni mfalme wa Heshboni hakutuacha kupitia kwake; kwa kuwa BWANA, Mungu wako, alimfanya mgumu roho yake, akamtia ukaidi moyoni mwake, apate mtia mkononi mwako kama alivyo hivi leo.

Kusoma sura kamili Kum. 2

Mtazamo Kum. 2:30 katika mazingira