Kum. 2:31 SUV

31 Kisha BWANA akaniambia, Tazama, nimeanza kumtoa Sihoni na nchi yake mbele yako; anza kuimiliki, upate kuirithi nchi yake.

Kusoma sura kamili Kum. 2

Mtazamo Kum. 2:31 katika mazingira