Kum. 2:7 SUV

7 Kwa kuwa BWANA, Mungu wako, amekubarikia katika kazi yote ya mkono wako; amejua ulivyotembea katika jangwa kubwa hili; miaka arobaini hii alikuwa nawe BWANA, Mungu wako; hukukosa kitu.

Kusoma sura kamili Kum. 2

Mtazamo Kum. 2:7 katika mazingira