Kum. 2:8 SUV

8 Basi tukapita kando yao ndugu zetu wana wa Esau, waketio Seiri kutoka njia ya Araba, kutoka Elathi na kutoka Esion-geberi.Tukageuka tukapita njia ya bara ya Moabu.

Kusoma sura kamili Kum. 2

Mtazamo Kum. 2:8 katika mazingira