Kum. 2:9 SUV

9 BWANA akaniambia, usiwasumbue Wamoabi, wala usishindane nao katika mapigano; kwa kuwa sitakupa katika nchi yake kuimiliki; kwa sababu Ari nimewapa wana wa Lutu kuimiliki.

Kusoma sura kamili Kum. 2

Mtazamo Kum. 2:9 katika mazingira