14 Tena utakapokuwa huna furaha naye, mpe ruhusa aende atakako; lakini usimwuze kabisa kwa fedha, usimfanye kama mtumwa, kwa kuwa ulimtweza.
Kusoma sura kamili Kum. 21
Mtazamo Kum. 21:14 katika mazingira