Kum. 21:15 SUV

15 Akiwa mtu yuna wake wawili, mmoja ampenda, mmoja hampendi, nao wamemzalia watoto, ampendaye na asiyempenda wote wawili; na yule mzaliwa wa kwanza akiwa ni wa mke asiyependwa;

Kusoma sura kamili Kum. 21

Mtazamo Kum. 21:15 katika mazingira