Kum. 22:4 SUV

4 Umwonapo punda wa nduguyo, au ng’ombe wake, ameanguka kando ya njia, usijifiche kama usiyemwona; sharti umsaidie kumwinua tena.

Kusoma sura kamili Kum. 22

Mtazamo Kum. 22:4 katika mazingira