Kum. 22:5 SUV

5 Mwanamke asivae mavazi yampasayo mwanamume, wala mwanamume asivae mavazi ya mwanamke; kwa maana kila afanyaye mambo hayo ni machukizo kwa BWANA, Mungu wako.

Kusoma sura kamili Kum. 22

Mtazamo Kum. 22:5 katika mazingira