Kum. 23:20 SUV

20 mgeni waweza kumkopesha kwa riba, ila usimkopeshe ndugu yako kwa riba; ili BWANA, Mungu wako, apate kukubarikia katika yote utiayo mkono wako, katika nchi uingiayo kuimiliki.

Kusoma sura kamili Kum. 23

Mtazamo Kum. 23:20 katika mazingira