13 Sharti umrudishie rehani lichwapo jua, apate kulala na mavazi yake, na kukubarikia; nayo itakuwa ni haki kwako mbele za BWANA, Mungu wako.
Kusoma sura kamili Kum. 24
Mtazamo Kum. 24:13 katika mazingira