Kum. 24:14 SUV

14 Usimwonee mtumishi mwenye ujira aliye maskini na uhitaji, kama ni wa nduguzo, au kama ni wageni wako mmojawapo walio katika nchi yako, ndani ya malango yako;

Kusoma sura kamili Kum. 24

Mtazamo Kum. 24:14 katika mazingira