Kum. 26:3 SUV

3 Ukamwendee kuhani atakayekuwapo siku zile, ukamwambie, Ninakiri leo kwa BWANA, Mungu wako, ya kuwa nimeingia katika nchi BWANA aliyowaapia baba zetu ya kwamba atatupa.

Kusoma sura kamili Kum. 26

Mtazamo Kum. 26:3 katika mazingira