Kum. 27:5 SUV

5 Na huko umjengee madhabahu BWANA, Mungu wako, madhabahu ya mawe, usitumie chombo cha chuma juu yake.

Kusoma sura kamili Kum. 27

Mtazamo Kum. 27:5 katika mazingira