Kum. 27:6 SUV

6 Jenga hiyo madhabahu ya BWANA, Mungu wako, kwa mawe yasiyochongwa; ukamtolee BWANA, Mungu wako, sadaka za kuteketezwa juu yake;

Kusoma sura kamili Kum. 27

Mtazamo Kum. 27:6 katika mazingira