Kum. 28:68 SUV

68 BWANA atakurudisha tena Misri kwa merikebu, kwa njia ambayo nilikuambia, Hutaiona tena po pote; nanyi huko mtajiuza nafsi zenu kwa adui zenu kuwa watumwa na wajakazi, wala hapana atakayewanunua.

Kusoma sura kamili Kum. 28

Mtazamo Kum. 28:68 katika mazingira