Kum. 3:20 SUV

20 hata BWANA awapumzishe ndugu zenu kama ninyi, nao pia waimiliki nchi wapewayo na BWANA, Mungu wenu, ng’ambo ya Yordani; ndipo mtakaporudi kila mmoja aende katika milki yake niliyowapa.

Kusoma sura kamili Kum. 3

Mtazamo Kum. 3:20 katika mazingira