Kum. 3:19 SUV

19 Lakini wake wenu na watoto wenu, na wanyama wenu wa mji, (nawajua kwamba mna wanyama wengi), na wakae katika miji yenu niliyowapa;

Kusoma sura kamili Kum. 3

Mtazamo Kum. 3:19 katika mazingira