Kum. 3:18 SUV

18 Nikawaamuru wakati huo, nikawaambia, BWANA, Mungu wenu, amewapa ninyi nchi hii mwimiliki, basi vukeni ng’ambo wenye silaha mbele ya ndugu zenu, wana wa Israeli, nyote mlio mashujaa.

Kusoma sura kamili Kum. 3

Mtazamo Kum. 3:18 katika mazingira