Kum. 31:28 SUV

28 Nikutanishieni wazee wote wa kabila zenu, na maakida yenu, ili niseme maneno haya masikioni mwao, na kuwashuhudizia mbingu na nchi juu yao.

Kusoma sura kamili Kum. 31

Mtazamo Kum. 31:28 katika mazingira