Kum. 31:29 SUV

29 Kwa sababu najua baada ya kufa kwangu mtajiharibu kabisa, na kukengeuka katika njia niliyowaamuru; nayo mabaya yatawapata siku za mwisho, kwa vile mtakavyofanya maovu machoni pa BWANA kumtia kasirani kwa kazi ya mikono yenu.

Kusoma sura kamili Kum. 31

Mtazamo Kum. 31:29 katika mazingira