Kum. 31:6 SUV

6 Iweni hodari na moyo wa ushujaa, msiogope wala msiwahofu; kwa maana BWANA, Mungu wako, yeye ndiye anayekwenda pamoja nawe, hatakupungukia wala kukuacha.

Kusoma sura kamili Kum. 31

Mtazamo Kum. 31:6 katika mazingira