Kum. 31:7 SUV

7 Musa akamwita Yoshua, akamwambia machoni pa Israeli wote, Uwe hodari na moyo wa ushujaa, maana utakwenda pamoja na watu hawa hata nchi BWANA aliyowaapia baba zao, ya kwamba atawapa; nawe utawarithisha.

Kusoma sura kamili Kum. 31

Mtazamo Kum. 31:7 katika mazingira