Kum. 31:8 SUV

8 Naye BWANA, yeye ndiye atakayekutangulia, atakuwa pamoja nawe, hatakupungukia wala kukuacha; usiogope wala usifadhaike.

Kusoma sura kamili Kum. 31

Mtazamo Kum. 31:8 katika mazingira