Kum. 31:9 SUV

9 Musa akaiandika torati hii, akawapa makuhani, wana wa Lawi, waliolichukua sanduku la agano la BWANA, na wazee wote wa Israeli.

Kusoma sura kamili Kum. 31

Mtazamo Kum. 31:9 katika mazingira