13 Alimpandisha mahali pa nchi palipoinuka,Naye akala mazao ya mashamba;Akamnyonyesha asali iliyotoka jabalini,Na mafuta yaliyotoka katika mwamba wa gumegume;
Kusoma sura kamili Kum. 32
Mtazamo Kum. 32:13 katika mazingira