Kum. 32:42 SUV

42 Nitailevya mishale yangu kwa damu,Na upanga wangu utakula nyama;Pamoja na damu ya waliouawa na waliotekwa nyara,Katika vichwa vya wakuu wa adui.

Kusoma sura kamili Kum. 32

Mtazamo Kum. 32:42 katika mazingira