Kum. 33:29 SUV

29 U heri, Israeli.Ni nani aliye kama wewe, taifa lililookolewa na BWANA!Ndiye ngao ya msaada wako,Na upanga wa utukufu wako;Na adui zako watajitiisha chini yako,Nawe utapakanyaga mahali pao pa juu.

Kusoma sura kamili Kum. 33

Mtazamo Kum. 33:29 katika mazingira