7 Na baraka ya Yuda ni hii; akasema,Isikize, Ee BWANA, sauti ya Yuda,Umlete ndani kwa watu wake;Alijitetea kwa mikono yake;Nawe utakuwa msaada juu ya adui zake.
Kusoma sura kamili Kum. 33
Mtazamo Kum. 33:7 katika mazingira