Kum. 4:10 SUV

10 siku ile uliyosimama mbele za BWANA wako huko Horebu, BWANA aliponiambia, Nikusanyieni watu hawa, nami nitawasikizisha maneno yangu, ili wajifunze kunicha mimi siku zote watakazoishi duniani, wakapate na kuwafundisha watoto wao.

Kusoma sura kamili Kum. 4

Mtazamo Kum. 4:10 katika mazingira