Kum. 4:9 SUV

9 Lakini, jihadhari nafsi yako, ukailinde roho yako kwa bidii, usije ukayasahau mambo yale uliyoyaona kwa macho yako, yakaondoka moyoni mwako siku zote za maisha yako; bali uwajulishe watoto wako na watoto wa watoto wako;

Kusoma sura kamili Kum. 4

Mtazamo Kum. 4:9 katika mazingira