Kum. 4:19 SUV

19 tena usije ukainua macho yako hata mbinguni, na ulionapo jua, na mwezi, na nyota, jeshi la mbinguni lote pia, ukashawishwa na kuviabudu, na kuvitumikia, ambavyo BWANA, Mungu wako amewagawanyia watu wote chini ya mbingu zote.

Kusoma sura kamili Kum. 4

Mtazamo Kum. 4:19 katika mazingira