Kum. 4:20 SUV

20 Bali BWANA amewatwaa ninyi, na kuwatoa katika tanuu ya chuma, katika Misri, mpate kuwa watu wa urithi kwake, kama mlivyo leo hivi.

Kusoma sura kamili Kum. 4

Mtazamo Kum. 4:20 katika mazingira