Kum. 4:21 SUV

21 Tena BWANA alinikasirikia kwa ajili yenu, akaapa ya kwamba sitavuka Yordani, na ya kwamba sitaingia nchi ile njema, awapayo BWANA, Mungu wenu, iwe urithi.

Kusoma sura kamili Kum. 4

Mtazamo Kum. 4:21 katika mazingira