Kum. 4:39 SUV

39 Kwa hiyo ujue, leo hivi, ukaweke moyoni mwako, ya kuwa BWANA ndiye Mungu katika mbingu juu, na katika nchi chini; hapana mwingine.

Kusoma sura kamili Kum. 4

Mtazamo Kum. 4:39 katika mazingira