Kum. 4:40 SUV

40 Basi, zishike sheria zake, na amri zake, ninazokuamuru leo, upate kufanikiwa, wewe na watoto wako baada yako, na siku zako ziwe nyingi katika nchi ile akupayo BWANA, Mungu wako, milele.

Kusoma sura kamili Kum. 4

Mtazamo Kum. 4:40 katika mazingira