Kum. 5:33 SUV

33 Endeni njia yote aliyowaagiza BWANA, Mungu wenu, mpate kuwa hai, na kufanikiwa, mkafanye siku zenu kuwa nyingi katika nchi mtakayoimiliki.

Kusoma sura kamili Kum. 5

Mtazamo Kum. 5:33 katika mazingira